Jumamosi ya jana katika Hotel ya Omni wanajumuiya wenzetu Wajasiriamali Dada Leyla Kikuzi na Dada Angel Scraton walifanya uzinduzi wa bidhaa zao za nywele. Uzinduzi huo wa kufana ulihudhuriwa na watu wengi.Bidhaa hizo ambazo ni nywele Double D Luxury Wigs (Dada Leyla) na mafuta ya nywele Angel Miracle Hair Oil ( Dada Angel ) zipo sokoni tayari. Pata picha za tukio hilo hapa chini.
No comments:
Post a Comment