Wanachama wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) Tawi la Houston Texas jumamosi wiki iliyopita walikutana kwenye Ukumbi wa Safari kwa hafla fupi ya Kusheherekea Maisha ya muasisi wa
CHADEMA Nd. Philemon Ndesamburo maarufu kama Ndesa Pesa aliyefariki dunia siku chache zilizopita huko nyumbani Tanzania. Wageni mbalimbali walialikwa kwenye hafla hiyo iliyoambatana na chakula cha usiku pamoja na vinywaji. Pata picha hapa kama zinavyoletwa kwenu na kamera ya
MlongoKihoma blog
|
Mwenyekiti wa CHADEMA Tawi la Houston Bw. Steven Maonyesho akiwa na picha ya marehemu Ndesamburo |
|
Picha ya muasisi wa CHADEMA marehemu Mzee Philemon Ndesamburo maarufu kama Ndesa Pesa |
|
Katibu Muenezi wa CHADEMA - Houston Nd. Nickson Mlay |
|
Katibu Mkuu wa CHADEMA - Houston Bw. Emmanuel K. Emmanuel |
|
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA - Houston Bw. Fue Onesmo Fue akisoma historia ya Mzee Ndesamburo |
|
Bw. Suleiman Kalinga maarufu kama Sekulu akifungua hafla kwa sala |
|
Vice President wa THC Bw. Lambert Tibaigana akitoa machache |
|
Wageni wakiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA - Houston Bw. Maonyesho ( kushoto ) |
No comments:
Post a Comment