Tuesday, November 28, 2017

DJ LUKE JOE ATINGA NDANI YA KC RADIO HOUSTON


 Mtangazaji na Dj wa KC Radio ya Houston DJ Rex akimfanyia mahojiano Dj Luke Joe (hayupo pichani) siku ya Ijumaa Novemba 24, 2017 kuhusiana na ujio wake kwenye sherehe za Thanksgiving zinazofanyika kila mwisho wa mwezi wa mwezi Novemba.
 Watangazaji wa KC Radio wakiwa kazini Dj Rex na Augustine Mkude (kulia)
 Dj Luke Joe akijibu moja ya maswali aliyokua akihojiwa na Dj Rex (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment