Tuesday, November 28, 2017

TANZANIA HOUSTON COMMUNITY THANKSGIVING GALA 2017..........more pictures

Jumuiya ya Watanzania waishio katika Jiji la Houston lililoko katika Jimbo la Texas nchini Marekani mwishoni mwa wiki ilifanya Thanksgiving Gala Party ya kukata na shoka katika ukumbi wa Chateau Crystale ulioko katika makutano ya barabara a Gessner na Westheimer. Party hiyo ilihudhuriwa na wadau kutoka sehemu mbalimbali nchini Marekani. Pata picha za tukio hilo.

Kamati ya Maandalizi ya THC Thanksgiving Gala 2017 ambayo ilikuwa chini ya Makamu Mwenyekiti wa
Jumuiya Bw. Lambert Tibaigana (wa pili kutoka kulia

Kaka Liberatus Mwang'ombe  kutoka DC (kushoto) akiwa na DJ. Luke ( katikati) na mkewe kutoka N. Carolina

Rais wa THC Bw. Daudi Mayocha akiwa na first Lady Bi. Bhavika


Rais wa Jumuiya ya watanzania waishio Jijini Dallas Bw. Ben Kazora na first lady wake      No comments:

Post a Comment