Monday, December 11, 2017

TANZANIA HOUSTON COMMUNITY ( THC ) YAPATA UONGOZI MPYA

Jumuiya ya Watanzania waishio katika jiji la Houston , Texas na vitongoji vyake siku ya jana tarehe 10/12/2017 walifanya Mkutano wa Uchaguzi kuchagua viongozi watakaoiongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Katika uchaguzi huo wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwa viongozi wa jumuiya kwa kipindi cha kuanzia January 2018 - December 2019.


EXECUTIVE COMMITTEE
Bw. Lambert Tibaigana - Rais wa THC
Bw. Suleiman Karinga - Makamu wa Rais THC
Bi. Anasa Kambi - Katibu Mkuu wa THC
Bi. Anneth Asenga  - Muweka Hazina wa THC
Bw. Cassius Pambamaji - Afisa Mawasiliano wa THC

Wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwa wajumbe wa Baraza la Wadhamini ( Board of Trustees) :
Bw. Goodluck Mbise
Bw. Jona Mwanukuzi
Dr. Angela Lyimo

Pata picha za Mkutano huo wa Uchaguzi kwa hisani ya Kamera ya kaka Lenny Mangara hapa chini


Rais Mpya wa THC Bw. Lambert Tibaigana
Makamu wa Rais mpya wa THC Bw. Suleiman Karinga


Katibu Mkuu mpya wa THC Bi. Anasa Kambi

Muweka Hazina Bi. Aneth Asenga

Rais aliyemaliza muda wake Bw. Daudi Mayocha akipiga kura



























































No comments:

Post a Comment