Tuesday, March 26, 2019

H-TOWN OLD SCHOOL REUNION, HOUSTON USIPIME

Wadau mbalimbali wakiwa wamejitokeza kwenye old school reunion iliyofanyika Houston, Texas na kuhudhuriwa na waaTanzania na marafiki zao kila pembe nje na ndani ya Marekani.
Wadau wa Old school toka North Carolina wakiwakilisha
Wadau wa old school wakipata picha ya pamoja.
Old school iliyofanyia Houston na kuacha gumzo jijini humo kwa muziki safi na madj wanaojua kazi yao.
Wadau wakiwa wamependeza kabisa wakiwa kwenye pozi la ukodak moment.
Picha siku ya Jumamosi Old School runion, Houston, Texas.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment