Tuesday, March 26, 2019

UKODAK MOMENT KARIBU NIGHT H TOWN OLD SCHOOL REUNION

H-Town Old Shool Reunio iliyofanyika siku ya March 22-23 na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wanaopenda muziki wa zamani  ndani na nje ya Marekani, mbali na old School hiyo pia kulijumuisha mcheoz wa mpira wakikapu na pambano la Simba na Yanga.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidiNo comments:

Post a Comment