Tuesday, October 13, 2020

MASHABIKI WA LIVERPOOL FC WANAOISHI JIJINI HOUSTON, TEXAS WAFANYA BBQ YA KUFURAHIA UBINGWA WA EPL 2019/2020

Umoja wa Mashabiki wa timu ya Liverpool waishio katika jiji la Houston jimboni Texas mwishoni mwa wiki iliyopita walifanya Party ya Nyama Choma (BBQ Party) kusherehekea ubingwa wa kwanza wa EPL kwa timu yao ya Liverpool baada ya kuusubiria kwa kipindi cha miaka 30. Sherehe hiyo ilifanyika katika viwanja vya Cullen Park vilivyoko katika makutano ya barabara za Barker Cypress na Saums.

 Wengi wa mashabiki hao ambao mara ya mwisho wakati Liverpool wanachukua ubingwa walikuwa aidha wana umri mdogo sana au walikuwa hawajazaliwa kabisa walionekana kuufurahia sana ubingwa huo. Pata picha chache za tukio hilo hapa chini.
















                                        































































No comments:

Post a Comment