Friday, January 29, 2021

VOTE FOR FLORA CHACHA TO BE MISS JETSET

TAFADHALI TUMIA LINK HII KUPIGA KURA/VOTE

https://miss.jetsetmag.com/2021/flora-chacha

Habari,

Jina langu ni Flora Chacha. Mimi ni Mtanzania ambaye temporarily niko hapa USA. I got into a competition called 2021 Miss Jetset Magazine. And so far I have been doing quite good I have made it through Third Cut. So far most of my voters are from back home and I thought It would be nice to reach out for support from Tanzanians who are in the US.

Miss Flora

Shindano lenyewe linahusu kuchangia B+ Foundation ambayo inajali familia na watoto walioathirika na saratani. 

Hii ni muhimu kwa Tanzania kwasababu kuna nchi nyingi zinagombania na mshindi anawekwa kwa cover ya jarida hili la Miss Jetset ambalo lina nakala mtandaoni pamoja na print. Na hili Jarida linahusu wawekezaji, wafanyabiasha na watu maarufu duniani which is a great way of promoting Tanzania kitalii na kiuchumi.

Sasa ningewaomba hapa nilipofika kama watanzania wenzangu mnipe support kuna Positive votes ambazo zinaanza $10 - 10vote na Free Daily Votes. So the more the votes the bigger the chance ya mimi kushinda. Ningewaomba support kama Watanzania wenzangu hapa Marekani niwakilishe vizuri katika shindano hili. Huu ni wakati wa Tanzania kujulikana duniani.

Naomba kura zenu. Ahsanteni sana.
No comments:

Post a Comment