Saturday, December 4, 2021

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA MEXICO MHE. ELSIE KANZA AKUTANA NA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO JIJINI HOUSTON-TEXAS

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Elsie Kanza jioni ya leo katika ukumbi wa Marriott Hotel uliopo katika makutano ya barabara za Westheimer na Briarpark alifanya mkutano na Jumuiya ya Watanzania waishio katika jiji la Houston lililopo katika Jimbo la Texas. Mheshimiwa Kanza alipata nafasi ya kujitambulisha kwa Watanzania hao na kubadilishana nao mawazo. Pata picha za mkutano huo hapa chini;

Mhe Balozi Elsie KanzaNo comments:

Post a Comment