Tuesday, June 20, 2023

UKODAK MOMENT OLD SCHOOL REUNION DMV SIKU YA IJUMAA

Kushoto ni Dj Dennis Shengena kutoka Minnesota akiwa sambamba na Dj Rexx kutoka Houston, Texas wakiwasha moto Karibu Night iliyofanyika siku ya Ijumaa June 16, 2024 Silver Spring, Maryland katika kiota cha Hakuna Matata Grill, huu ulikua usiku wa kwanza wa Old school reunion iliyokutanisha wadau mbalimbali kutoka kila pembe ya USA na sehemu nyingine Duniani. Picha na Vijimambo Blog.

Wadau wakifurahia muziki kutoka kwa Dj Dennis Shengena na mshirika wake Dj Rexx kutoka Houston, Texas 

Papa Kinyasi akiburudika na kanywaji huku akipunga upepo mwanana
No comments:

Post a Comment