Tuesday, June 20, 2023

JUMAMOSI YA OLD SCHOOL REUNION YABAMBA

Dj Dennis Shengena (kushoto mwenye suti ya blue) akiwarusha wadau waliofika DMV kutoka
kila pembe ya USA na Duniani kote, kulia ni NY Ebra akifurahia jambo na Dj Dennis, nyuma ni
 Dj Musmus ambaye alikuwa mshereheshaji wa usiku huo uliofanyika West Bowie Village Hall,
 Bowie Maryland nchini Marekani, Jumamosi June 17, 2023. Picha na Vijimambo Blog

Wadau waliohudhuria Old School Reunion wakiruka mangoma

Dj Musmus kutoka Michigan akipata ukodak moment


No comments:

Post a Comment