Tuesday, June 20, 2023

VIVAZI VILIVYOTAMBA OLD SCHOOL REUNION ZULIA JEKUNDU JUMAMOSI DMV

Wapili toka kushoto ni msanii wa kizazi kipya Roma Mkatoliki akiwa na mchekeshaji Beneficial (watatu toka kushoto) kwa pamoja wakipata picha na wadau waliokua nao siku ya Old School
Reunion iliyofanyika Jumamos June 17, 2023 Bowie, Maryland nchini Marekani.
Picha na Vijimambo Blog.

Dj Dennis akipata ukodak moment zulia jekundu

Ndaga Mwakabuta toka Minnesota akipata picha katika
zulia jekundu

Catherine Shirima na Ndaga Mwakabuta katika picha ya
pamoja

Catherine Shirima na Dj Dennis katika picha ya pamoja

Amina Ibuni akiwa katika zulia jekundu
 


No comments:

Post a Comment