Tuesday, October 1, 2024

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA MEXICO, MHE. DKT. ELSIE KANZA ATEMBELEA MEZA ZA WAJASIRIAMALI WAKIWEMO WADAU WA UTALII WALIOHUDHURIA KONGAMANO LA DIASPORA, AUSTIN, TEXAS

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akipata picha ya kumbukumbu mara tu baada ya kuwasili kwenye kongamano kubwa la Diaspora lililofanyika kwa siku 3 Austin, Texas nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo,akiwasili kwenye kongamano akiongozana na afisa Ubalozi Abdul Malik (kulia) siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024 Austin, Texas kwenye resort ya Kalahari.
Watatu toka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwa na mwenyeji wake, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa wa Bank ya NMB mara tu walipowasili kufunga kongamano kubwa la Diaspora lililofanyika kwa siku 3 Austin, Texas nchini Marekani siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Mmoja ya mdau waliohudhuria kongamano la Diaspora nchini Marekani akipata picha na  Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akiwa na mgeni wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo wakipita kwenye meza za wajasiriamali na wadau wa utalii waliokuja kwenye kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani lililofanyika Austin, Texas katika Reosort ya Kalahari,
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akisalimiana na wadau kutoka Vodacom alipotembelea meza yao.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akisalimiana na wadau kutoka Vodacom alipotembelea meza yao.
Mmoja ya mdau akikabidhi kitabu  alichoandika kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

`


No comments:

Post a Comment