Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024. Picha na Vijimambo Blog
Afisa usajili mwandamiz Issa Salumi akihakiki maelezo ya diaspora mTanzania nchini Marekani yanasomeka kama yalivyojazwa kwenye fomu za mwombaji wa kitambulisho cha NIDA.
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
No comments:
Post a Comment