HISPANIA NDIO MABINGWA ULAYA
LA TATU KIULAINIIIII: Torres anafunga akitokea benchi a kuweka rekodi ya kufunga mabao katika fainali mbili mfululizo za Euro
Icing on the cake: Mata made it four with a couple of minutes left on the clock to complete the rout
PATI LA UBINGWA! Casillas akiwa ameinua ndoo ya ubingwa katikati ya wachezaji wenzake.
PATI TUUU! Hispania wakishangilia
I
No impact: Balotelli was in devastating form in the semi-final but found the going hard against the Spaniards
MBWA KALA MBWA! Balotelli chini ya ulinzi.
HISPANIA ndio mabingwa. Naam, Hispania wametete ubingwa wao wa Kombe la mataifa Ulaya, kwa kuichapa Italia 4-0 mjini Kiev.
David Silva alifunga bao la kwanza dakika ya 14, kisha Jordi Alba akafunga la pili kabla ya mapumziko, Fernando Torres aliyetokea benchi akafunga la tatu miezi miwili tangu ashinde Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Chelsea na kufanikiwa kuwa mfungaji bora wa mashindano ya mwaka huu.
Mabingwa! Torres akishangilia bao la tatu aliloifungia Hispania dhidi ya Italia mjini Kiev
TAKWIMU ZA MECHI YA
KIKOSI HISPANIA: Casillas, Arbeloa, Pique, Sergio Ramos, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Alonso, Silva/Pedro Rodriguez dk59, Fabregas/Torres dk75, Iniesta.
BENCHI: Valdes, Albiol, Javi Martinez, Juanfran, Negredo, Mata, Llorente, Santi Cazorla, Jesus Navas, Reina.
KADI: Pique.
MABAO: Silva (dk14), (Alba dk41) Torres (dk84), Mata (dk88).
ITALIA: Buffon, Abate, Barzagli, Bonucci, Chiellini/Balzaretti dk21, Pirlo, Marchisio, Montolivo/Thiago Motta dk57, De Rossi, Balotelli, Cassano/Di Natale dk45.
BENCHI: Sirigu, Maggio, Ogbonna, Giaccherini, Borini, Giovinco, Diamanti, Nocerino, De Sanctis.
Booked: Barzagli.
REFA: Pedro Proenca (Ureno)
Na baada ya hapo, mchezaji mwenzake Torres katika klabu ya Chelsea, Juan Mata akafunga bao la nne zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kumalizika.
Wachezaji wanne katika kikosi cha Hispania, wanastahili sifa za kipekee, hao ni Iker Casillas, Sergio Ramos, Andres Iniesta na Xavi ambao walikuwemo pia kwenye vikosi vya kwanza katika fainali za Euro 2008 mjini Vienna, Kombe la Dunia 2010 mjini Johannesburg na sasa Ukraine.
Wachezaji wanne katika kikosi cha Hispania, wanastahili sifa za kipekee, hao ni Iker Casillas, Sergio Ramos, Andres Iniesta na Xavi ambao walikuwemo pia kwenye vikosi vya kwanza katika fainali za Euro 2008 mjini Vienna, Kombe la Dunia 2010 mjini Johannesburg na sasa Ukraine.
BAO LA KWANZA: Silva akifunga akimtungua kipa wa Italia, Buffon
LA PILI: Pasi ya Iniesta inamkuta Alba anatupia nyavuni hapa
WAZAZI! Familia ya Balotelli
SHUGHULI PEVU: Balotelli katika mishemishe
MECHI IMEISHA: Hali halisi uwanjani
MASHABIKI: Manazi wa Italia
MASHABIKI: Manazi wa Hispania
MASHABIKI WA KIKE: Inapendezaje? Mademu mashabiki wa Hispania
No comments:
Post a Comment