Sunday, July 8, 2012


KIDUM AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU CLAYMONT, DELAWARE


Kidum Ijumaa July 6, 2012 alifanya makamuzi ya nguvu
 katika Club ya Simba Tropical Grill iliyopo Claymont, 
Delaware, Marekani 

Kidum akishambulia jukwaa

Mashabiki wameshindwa kujizuia na wakaamua nao
 kushambulia Jukwaa.

Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Mashabiki wameshindwa kujizuia na wakaamua nao
 kushambulia Jukwaa.

Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Washabiki  wakishambulia Jukwaa
Kidum akiendelea na makamuzi
Kidum akiendelea na makamuzi
Kidum akiendelea na makamuzi
Kidum akiendelea na makamuzi
Washabiki
Shabiki na Kidum
Washabiki


DJ

No comments:

Post a Comment