Saturday, November 10, 2012

BIRTHDAY DINNER SPRINGFIELD, MA


Hapa bwana Kibodya akimrisha kipande cha cake mzamini wa pendo lake ni baada ya  birthday dinner hiyo aliyokua amemwandaliwa mke wake kama surprise huko nyumbani kwake.

Mama mwenye nyumba nae alimrisha mzee kipande cha cake, hiyo yote ni mambo ya mapenzi

Hapa mama Kibodya akipata ukodak na marafiki walio kuja kujumuhika nae kwenye dinner hiyo
No comments:

Post a Comment