Saturday, November 10, 2012

SIMBA NA TOTO KATIKA PICHA TAIFAKipa Wilbert Mweta wa Simba akijaribu kuokoa mpira kwa mguu bila mafanikio katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Toto Africans ya Mwanza, iliyoshinda 1-0.

Mpira upo nyavuni

Mfungaji wa bao la Toto akipongezwa na wenzake


Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick akiangalia saa yake dakika zikiyoyoma timu yake imelala

Wachezaji wa Toto wakinywa majiHatari kwenye lango la Toto
Komabil Keita wa Simba akionyesha ubabe na Suleiman Kibuta wa Toto. walitaka kupigana
Okwi anateleza
Cheki jamaa alivyomkaba Sunzu
Kiemba anateleza
Okwi katika mishi
Ulinzi mkali
Jonas Mkude anatoa pasi
Hoi, kocha Milovan kushoto na wachezaji wake kulia Mkude na Shomary Kapombe
Hatari kwenye lango la Toto
Sunzu akishughulika
Mussa Said Kimbu akichuana na Kiemba anayeelekea kuangukia mpira
Okwi alipangua safu yote ya ulinzi ya Toto, lakini akashindwa kufunga
Okwi anawatoka mabeki wa Toto
Mwinyi Kazimoto anaambaaa
keita anamiliki mpira kulia
Emmanuel Swita anaosha
Refa Judith Gamba akimuinua mchezaji wa Toto 
Sunzu anataka kuingia yeye nyavuni baada ya kipa wa Toto kudaka mpira
Haruna Chanongo na Mohamed Hussein wa Toto
Chanongo akidhibitiwa
Kikosi cha Toto leo
Kikosi cha Simba leo
Kipa wa Toto, Erick Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi na Sunzu
Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Sunzu
Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi

No comments:

Post a Comment