Hapa Mwananjenje na mtoto wake wakiwa na mwenyeji wao NY kwani mji huu
unahitaji mwenyeji hauwezi kuingia kichwa kichwa unaweza kujikuta unashindwa
kufanya yaliyokuleta ukabakia unashanga vikwangua anga tu vilivyopotelea mawinguni na TV kubwa zilizowekwa kwenye kuta za majengo
marefu hasa ukiwa maeneo ya Times Square. |
No comments:
Post a Comment