Ndugu Wanajumuia,
Kwa masikitiko makubwa natoa taarifa ya kifo cha ndugu yetu
mpendwa JEROME DAVID MPEFO,
kilichotokea leo Jumatano (06/12/2013) majira ya saa mbili usiku
katika hospitali ya MD Anderson alipokuwa amelazwa.
Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Marehemu Jerome D. Mpefo |
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na wanajumuia wafuatao;
1)Emmanuel Katili - 281 794 0806
2)Peter Mpefo - 832 366 3303
Msiba upo katika anuani ifuatayo;
12511 TRACELYNN LANE
HOUSTON TX 77066
Kutakua na kikao cha dharura nyumbani kwa marehemu kesho (Alhamisi) Juni 13 saa mbili usiku , Wanajumuia mnaombwa kuudhuria kwa wingi.Tafadhali mfahamishe na mwingine upatapo taarifa hii.
Wenu katika Jumuia,
Juma Maswanya
281-989 3724.
Kaka tunaomba Picha .halafu utu up date na msiba upo wapi Daresalaam
ReplyDeleteSasa wewe hii blog Yako ndio ipo Houston Hatuna haja ya Kwenda blog zingine .Tupe up date mdau Jerome umetutoka umetuacha na majonzi Jerome Jamani .Mungu akupumzishe salama .BLOGGER ahsante mkuu alikuwa poa kinoma
ReplyDeleteInakuwaje mungu anachukuwa Watu wenye roho nzuri hivi .Jerome mungu akupumzishe kaka
ReplyDeleteKaka Jerome thank you for everything.ulikuwa na roho nzuri
ReplyDeletePicha za msibani Basi mdau
ReplyDelete