Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Taifa Stars na Simba SC ambaye kwa sasa anaishi na kucheza mpira nchini Uswisi jana mchana aliwasili mjini Houston, Texas na kupokelewa na kaka yake Nico Njohole ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Tanzania anayeishi Uingereza tayari kabisa kwa mpambano wa Simba na Yanga utakaofanyika mjini Dallas , Texas siku ya jumamosi tarehe 30/04.
VIJIMAMBO blog itawaletea taarifa za mtanange huo kwa ukaribu zaidi
|
Renatus na Nico Njohole wakiwa George Bush International Airport jana mchana
|
No comments:
Post a Comment