|
DSQUAD |
Timu ya soka ya Jumuiya ya Watanzania wa Houston inatazamiwa kushiriki michuano ya DSO inayofanyika kila mwaka wakati wa sherehe za Memorial katika Jiji la Dallas . Ratiba kamili inaonyesha Dsquad itakuwa kwenye kundi B katika michuani hiyo itakayokuwa na makundi matatu. Mshindi wa mashindano hayo ya siku mbili ( 28/29-05) atajinyakulia kikombe na kitita cha $1000
|
Ratiba |
|
Ratiba |
|
Ratiba |
|
Zawadi ya Mfungaji Bora |
|
Kombe la Ubingwa |
No comments:
Post a Comment