Monday, November 16, 2020

ANTHONY RUGIMBANA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA TANZANIA HOUSTON COMMUNITY ( THC )

Jumuiya ya Watanzania waishio katika jiji la Houston , Texas na vitongoji vyake siku ya Jumamosi tarehe 14/11/2020 katika viwanja vya Cullen Park walifanya Mkutano wa Uchaguzi kuchagua viongozi watakaoiongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Uchaguzi huo ambao kikatiba ulitakiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka jana ulikuwa ukiahirishwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuibuka kwa gonjwa hatari la COVID19. Katika Uchaguzi huo uliokuwa huru na wa HAKI WanaTHC waliwachagua wajumbe wafuatao kuwa viongozi wa jumuiya kwa kipindi cha kuanzia January 1st 2021 - December 31st 2022.

EXECUTIVE COMMITTEE

Bw. Anthony Ndibahyukao Rugimbana - Rais wa THC

Bw. Hamis Khalfan Machaparty - Makamu wa Rais THC

Bw. Castor Mwanjesa - Katibu Mkuu wa THC

Bi. Angela Lyimo  - Muweka Hazina wa THC

Bw. Shaibu Said Kikoti - Afisa Mawasiliano wa THC


Anthony Rugimbana - Rais THC

Hamis Khalfan - VP THC

Castor Mwanjesa - General Secretary

Dr Angela Lyimo - Treasurer

Shaibu Saidi Kikoti - PR Officer


Wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwa wajumbe wa Baraza la Wadhamini (Board of Trustees) :

Bw. Eladius Rugaimukam

Bi. Kemi Kagirwa

Bi. Esther Mutakyawa

Bw. Erasmus Laurian 

Bi. Edna Lwekamwa


Bi Edna Lwekamwa

Bi Kemi Kagirwa

Bi Esther Mutakyawa


No comments:

Post a Comment