WAZIRI MULAMULA NA MAADHIMISHO YA MIKA 60 YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA MAREKANI
Waambata wa Jeshi kutoka Balozi zao wakipiga salute wakati wa nyimbo za Taifa kati ya Tanzania na Marekani zilipokua zikipigwa.
Mhe. Dkt. Elsie S. Kanza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Alhamis Disemba 9, 2021, Washington, DC
No comments:
Post a Comment